تماشای ویدئو TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania amefariki از آی-ویدئو

Aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji 'Andy' Chande afariki Dunia. Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemasons kwa takribani miongo 6 tangu ajiunge. Alizaliwa Mombasa, Kenya Mei 7 1928 ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene Mjini, Mkoani Tabora (Tanzania). source: Jamii forums
7 اردیبهشت 1396
آی-ویدئو